Matayo 16:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walipokwisha kuvuka hadi ng’ambo ya pili ya ziwa, wanafunzi wake waligundua kuwa walisahau kuchukua mikate.