Matayo 13:55

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Huyu si yule mwana wa seremala? Mama yake si anaitwa Mariamu, na ndugu zake ni Yakobo, Yusufu, Simoni na Yuda?