Matayo 13:50

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na watawatupa hao waovu katika tanuru ya moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.