Matayo 13:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mbegu iliyopandwa kwenye mawe ni mtu yule ambaye hulisikia neno na kulipokea mara moja kwa furaha.