Matayo 12:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na kama mngalifahamu maana ya maneno haya, ‘Ninataka rehema wala si sadaka ya kuteketezwa;’ msingeliwalaumu watu wasio na hatia,