Matayo 12:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na kama mimi hutoa pepo kwa nguvu za Beelzebuli, watu wenu je, wao hutoa pepo kwa uwezo wa nani? Wao ndio watakaowaamulia.