Matayo 12:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hataponda unyasi uliochubuliwa wala hatazima mshumaa unaokaribia kuzima, mpaka atakapoifanya haki ipate ushindi;