Matayo 11:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu alipomaliza kutoa maagizo yake kwa wale wanafunzi wake kumi na wawili, aliondoka pale akaenda kufundisha na kuhubiri katika miji yao.