Matayo 10:35

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana nimekuja kuleta kutokuele wana kati ya mtu na baba yake, na kati ya binti na mama yake, na kati ya mkwe na mama mkwe wake.