Matayo 10:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, mimi pia nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.