Matayo 10:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mbayuwayu wawili huuzwa kwa sarafu moja tu. Lakini hata mmoja wao hawezi kuanguka pasipo Baba yenu kupenda.