Matayo 10:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Jihadharini na watu, kwa maana watawapeleka katika mabaraza yao na kuwapiga viboko kwenye masinagogi yao.