Matayo 1:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Asa alikuwa baba yake Yehoshafati; Yehoshafati alikuwa baba yake Yoramu; Yoramu alikuwa baba yake Uzia;