Matayo 1:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yosefu alipoamka usingizini, alifanya kama alivyoagizwa na malaika wa Bwana; akamchukua mkewe Maria nyumbani kwake,