Marko 7:33

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akampeleka yule kiziwi kando mbali na watu, akain giza vidole masikioni mwake kisha akatema mate na akaugusa ulimi wake.