Marko 6:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akawaagiza wasichukue cho chote safarini isipokuwa fimbo tu. Wasichukue mkate, wala mfuko, wala fedha.