Marko 6:45

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakati huo huo Yesu akawaamuru wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda Bethsaida, wakati yeye anawaaga watu.