Marko 6:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akawauliza, “Mna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie.” Waliporudi wakamwambia, “Ipo mikate mitano na samaki wawili.”