Marko 6:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi wakaondoka kwa mashua peke yao wakaenda mahali pasipo na watu.