Marko 6:25

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule binti akarudi haraka kwa mfalme akamwambia, “Nataka unipe sasa hivi kichwa cha Yohana Mbatizaji kwenye sinia .”