Marko 2:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Mbona mtu huyu anasema maneno haya? Anakufuru! Hajui kuwa ni Mungu peke yake awezaye kusamehe dhambi?”