Marko 2:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baada ya siku kadhaa Yesu alirudi Kapernaumu; watu waka pata habari kuwa amerudi nyumbani.