Marko 16:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mariamu akaenda akawaambia wale waliokuwa wakifuatana na Yesu. Wakati huo walikuwa bado wanalia na kuomboleza.