Marko 16:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sabato ilipomalizika, Mariamu Magdalena na Mariamu mama yake Yakobo na Salome walinunua manukato ili wakaupake mwili wa Yesu.