Marko 11:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Asubuhi yake walipokuwa wakipita, wakauona ule mtini ume nyauka kutoka juu hadi kwenye mizizi yake.