Marko 10:52

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akamwambia, “Nenda, imani yako imekuponya.” Wakati huo huo akaweza kuona, akamfuata Yesu njiani.