Marko 10:47

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Aliposikia kuwa Yesu wa Nazareti alikuwa akipita, akaanza kupiga kelele, “Yesu, Mwana wa Daudi, nionee huruma!”