Marko 10:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakamjibu, “Musa aliruhusu kwamba mume anaweza kumwandikia mkewe hati ya talaka na kumwacha.”