Marko 10:35

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yakobo na Yohana wana wa Zebedayo wakamwendea Yesu wakamwambia, “Bwana, kuna jambo moja tungependa kukuomba.”