Marko 10:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akatazama pande zote, akawaambia wanafunzi wake, “Itakuwa vigumu sana kwa matajiri kuingia katika Ufalme wa

Mungu!”