Marko 1:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Naye alihubiri akisema, “Baada yangu anakuja mwenye uwezo kunizidi, ambaye sistahili hata kuinama na kulegeza kamba za viatu vyake.