Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
Marko 1:34
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawaponya watu wengi waliokuwa na magonjwa ya kila aina. Akawatoa pepo wengi; lakini hakuwaruhusu pepo hao wazungumze, kwa sababu wal ifahamu yeye ni nani.
Yesu Aondoka Kapernaumu Na Kwenda Galilaya
Read full chapter →
Compare all translations →