Marko 1:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakaenda mpaka Kapernaumu. Ilipofika siku ya sabato, Yesu akaenda katika sinagogi akaanza kufundisha.