Luka 9:53

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini watu wa kijiji hicho walikataa kumpokea kwa sababu ilikuwa dhahiri kwamba ali kuwa anakwenda Yerusalemu.