Luka 9:51

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Siku zake za kurudi mbinguni zilipokaribia, Yesu aliamua kwamba lazima aende Yerusalemu na akaanza safari kuelekea huko.