Luka 9:49

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yohana akasema, “Bwana, tumemwona mtu akifukuza pepo kwa jina lako tukamzuia kwa maana yeye si mmoja wetu.”