Luka 9:41

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akajibu, “Enyi watu mliopotoka, msio na imani, nitakaa nanyi na kuwavumilia mpaka lini? Mlete mwanao hapa.”