Luka 9:35

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sauti ikatoka kwenye wingu ikisema, “Huyu ni Mwanangu niliyemchagua, msikilizeni yeye.”