Luka 9:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Petro na wenzake ambao walikuwa wamelala usingizi mzito waliamka wakaona utukufu wa Yesu na wale watu wawili waliokuwa wamesimama pamoja naye.