Luka 9:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ghafla wakawepo watu wawili wakaanza kuzungumza naye. Walikuwa ni Musa na Eliya!