Luka 9:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha akawauliza, “Ninyi je, mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiye Kristo wa Mungu.”