Luka 9:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawaita pamoja wanafunzi wake kumi na wawili na kuwapa mamlaka na uwezo wa kufukuza pepo wote na kuponya magonjwa yote.