Luka 7:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakati huo huo, Yesu aliwaponya wengi waliokuwa na magonjwa, maumivu na pepo wachafu. Pia akawawezesha vipofu wengi kuona.