Luka 7:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha akalisoge lea lile jeneza akaligusa na wale waliolibeba wakasimama. Ndipo akasema: “Kijana nakuambia, amka!”