Luka 6:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walimu wa sheria na Mafarisayo wakawa wanangoja waone kama atamponya mtu siku ya sabato ili wapate sababu ya kumshtaki.