Luka 6:44

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kila mti hutambuliwa kwa matunda yake. Tini hazichumwi kwenye michongoma wala zabibu hazichumwi kwenye majani mwitu.