Luka 6:41

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mbona unatazama sana kipande kilichoko katika jicho la mwenzako nawe huoni pande lililoko ndani ya jicho lako?