Luka 6:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Pia akawapa mfano akasema, “Je, kipofu anaweza kumwon goza kipofu mwenzake? Si wote wawili watatumbukia shimoni?