Luka 6:37

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Msiwahukumu wengine nanyi hamtahukumiwa. Msilaani, nanyi hamtalaaniwa. Wasameheni wengine, nanyi mtasamehewa.