Luka 6:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.